KARIBUNI INAFADHILIWA NA MOUNT MERU MILLERS LIMITED FOODTRADE EASTERN AND SOUTHERN AFRICA IKISHIRIKIANA NA 23/02/17 PROPRIETORY INFORMATION 2

Similar documents
TIST HABARI MOTO MOTO. Baiskeli Mpya za TIST! New TIST Bicycles! SASA NI WAKATI WA KUANZA KUPANDA MBEGU ZAKO. 01 September 2000

the story I found a dream, that I could speak to. A dream that I can call my own. At Last, a song by legendary Etta James

Survey : Page : 1 Ipsos_Synovate TANZANIA

Kadi Rahisi ya Alama za Umaskini Tanzania Simple Poverty Scorecard

STARTERS SALAD SOUP SALAD

J?~!!. ~~~ieloom HISlORIU

South. This document is available in Spanish, Karen, Bhutanese, and Swahili. Contact (651) for copies.

MKAKATI WA TAIFA DHIDI YA RUSHWA NA MPANGO WA UTEKELEZAJI AWAMU YA TATU Ofisi ya Rais, Ikulu, Dar es Salaam, Tanzania

KWA NINI UISLAMU UMEMRUHUSU MUME KUOA WAKE WENGI?

Tunafurahi umekuja! We re glad you re here!

STARTERS. to share or not. Sambusa filled with either minced meat, spinach and cheese, potatoes and leek, or currylentils (M) 2 Dips included

LSMS INTEGRATED SURVEYS ON AGRICULTURE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA: LEGUMES APPENDIX

WINE EXPORTS. February Nadine Uren. tel:

Revised World Coffee Production Forecast Remains on Track for Record 140

TANZANIA COFFEE BUSINESS DIRECTORY

NewsletteR. Tea Industry: The Future is Purple. Plus: Agriculture, Fisheries & Food Authority. Issue No. 3. October - December, 2015

REPORT OF THE 4 TH NATIONAL COFFEE CONFERENCE HELD AT NASHERA HOTEL, MOROGORO

Coffee: World Markets and Trade

CropCast Global Coffee Estimates

NUTS, PULSES & SEEDS

THE DECLINING COFFEE ECONOMY AND LOW POPULATION GROWTH IN MWANGA DISTRICT, TANZANIA

THE GLOBAL PULSE MARKETS: recent trends and outlook

Wild edible mushrooms and their marketing potential in the Selous-Niassa Wildlife Corridor, Tanzania

Source : Intl Coffee Org. Other Milds. Brazil 26,08 % 29,28 % 28,27 % 26,37 % 28,81 % 39,76 % 27,78 % 34,19 % Prices Kenya

Paper Packaging Practice June Copyright 2015 RISI, Inc. All rights reserved.

5: Pulses LESSON PLAN 5. around the world. Primary Schoolchildren Ages 8-11

Valuable AP World History Map Information (Adapted from 5 Steps to a Five)

Herbs, Spices & Vegetables PRODUCT GUIDE

AMAZONIA (BRAZIL) NUTS MACADAMIAS HAZELNUTS PISTACHIOS WALNUTS PINE NUTS PECANS

Are we loosing the young generation? Amund Bråthen Senior Advisor Estoril February 7 th 2019

Tea Statistics Report 2015

World Agricultural Production

UTZ Tea Statistics Report 2017

Alternative Recipes for RUTF. Alison Fleet UNICEF Supply Division, RUTF Pretender Conference, 2018

COMMITTEE ON COMMODITY PROBLEMS

MONTHLY COFFEE MARKET REPORT

TRADE AS A % OF GDP VS GDP PER CAPITA (LANDLOCKED DEVELOPING COUNTRIES) MOLDOVA UZBEKISTAN

Hanns R. Neumann Stiftung Tanzania

Making effective use of new market access opportunities to increase and diversify farm trade

China Importing Record Levels of Soybeans

MONTHLY COFFEE MARKET REPORT

Chinese Peanut Exports Hit Record High

UTZ Coffee Statistics Report 2017

SORGHUM IN MALT HOUSES FOR BEER PRODUCTION : THE AFRICAN EXPERIMENT

MONTHLY COFFEE MARKET REPORT

The Barth Report and Germain Hansmaennel present. Market Leaders and their Challengers in the Top 40 Countries

South American Soybeans Continue to Gain World Market Share

World Palm Oil Imports

Gender equality in the coffee sector. Dr Christoph Sänger 122 nd Session of the International Coffee Council 17 September 2018

World Agricultural Production

U.S. Imports of Soybeans, Meal, and Oil

World Agricultural Production

World Agricultural Production

MARCOS S. JANK. JAPAN BRAZIL Bilateral Dynamics and Partnership in the Agri-Food Sector

World Agricultural Production

World Agricultural Production

LETTER FROM THE EXECUTIVE DIRECTOR

Cereals, Oilseeds and Protein Crops. Market Situation. CROPS Market Observatory 12 th April 2018

World Agricultural Production

World Agricultural Production

WHOLESALE BROCHURE APRIL wholesale brochure

World Agricultural Production

ANNEX XI TO THE DECISION OECD SCHEME FOR THE VARIETAL CERTIFICATION OF MAIZE SEED

The Dutch and European horticulture market

MONTHLY COFFEE MARKET REPORT

World Dairy Situation. IDF SC DPE, Paris April 11, 2013

Resistance to Soybean Rust in common bean

World Agricultural Production

How do standards collaborate in the coffee sector? What are the goals?

Farmgold Pricelist. Phone: +43/ Fax +43/

Fruit & vegetable preparations 2 558

Where is human nature so weak as in the bookstore? All hot drinks are available with decaffeinated coffee.

2018 World Vitiviniculture Situation. OIV Statistical Report on World Vitiviniculture

Peanut. Peanut. Description

World Agricultural Production

Healthy U 2000 RETAIL HEALTH FOOD STORES

CHAPTER 7.1 FOCUS ON FAIRTRADE PRODUCTS COFFEE

L17 Horse gram Macrotyloma uniflorum Synonym Erroneously - D. biflorus; D. uniflorus Twining annual or perennial Var. uniflorum is cultivated annual

Breakfast on the run. Good morning breakfast. Enjoy a traditional Swahili breakfast DOWNTOWNER

ICC March 2009 Original: French. Study. International Coffee Council 102 nd Session March 2009 London, England

ANALYSIS ON THE STRUCTURE OF HONEY PRODUCTION AND TRADE IN THE WORLD

World Agricultural Production

World Agricultural Production

Strong U.S. Soybean Exports to Date Should Lead to Marketing Year Record

World Agricultural Production

World Agricultural Production

Soybean Oil and Palm Oil Account For An Increasing Share of World Vegetable Oil Consumption

Rising Africa. WILD Flavors & Specialty Ingredients. Marie Wright 11/15

Foods Of South Africa (A Taste Of Culture)

Estimation of Potentially Affected Agricultural Imports

BUTTERMILK POWDER. For Ultra Heat Treated. Typical Compositional Analysis. Product Characteristics. Suggested Uses. Packaging. Storage and Handling

Monitoring EU Agri-Food Trade: Development until March 2017

IANSA Seminar Presentation

Sunflower & Soybean Forum

Table S1. Countries and years in sample.

World Agricultural Production

Coffee: World Markets and Trade

World Agricultural Production

China s Vegetable Oil Imports Forecast to Reach a Record in 2004/05

Maximum Residue Levels (MRLs) for pesticides: Members are also requested to send the Executive Director:

Transcription:

In Partnership

KARIBUNI INAFADHILIWA NA MOUNT MERU MILLERS LIMITED IKISHIRIKIANA NA FOODTRADE EASTERN AND SOUTHERN AFRICA 23/02/17 PROPRIETORY INFORMATION 2

"UELEWAJI NA PROMOSHENI" YA MBEGU ZA SOYA UTANGULIZI - na Picha FAIDA ZA KILIMO CHA MAHARAGE YA SOYA MAZIWA UOTESHAJI WA MBEGU ZA SOYA HALI YA HEWA KWA KILIMO CHA SOYA TAKWIMU ZA KIDUNIA PICHA ZA MASHAMBA YA SOYA BEI YA DUNIA KWA SOYA KUTOA PEMBEJEO, SHAMBA DARASA, KUUZA SOYA KWA MMML. ASANTE & MAWASILIANO 23/02/17 PROPRIETORY INFORMATION 3

RAMANI YA TANZANIA(FOS) 23/02/17 PROPRIETORY INFORMATION 4

MICHE NA MBEGU ZA SOYA 23/02/17 PROPRIETORY INFORMATION 5

UPANDAJI WA SOYA SHAMBA DARASA 23/02/17 PROPRIETORY INFORMATION 6

USAFISHAJI WA MBEGU ZA SOYA 23/02/17 PROPRIETORY INFORMATION 7

UPAKIAJI WA MBEGU ZA SOYA 23/02/17 PROPRIETORY INFORMATION 8

UHIFADHI WA MBEGU ZA SOYA 23/02/17 PROPRIETORY INFORMATION 9

UPIMAJI WA MBEGU ZA SOYA 23/02/17 PROPRIETORY INFORMATION 10

UTANGULIZI ZAO LA SOYA NI MOJA WAPO YA CHAKULA KIKUU CHA WANADAMU INA MADINI YA PROTINI KWA KIWANGO KIKUBWA 23/02/17 PROPRIETORY INFORMATION 11

HUTUMIWA KAMA MAZIWA YA SOYA, SOYA SAUCE, SOYA CHUNKS, SOYA LENTIL, SUPU YA SOYA, SOYA UNGA, SOYA MAFUTA, SOYA MAZIWA, n.k 23/02/17 PROPRIETORY INFORMATION 12

CHIMBUKO LA SOYA ASILI YA SOYA NI KUTOKA MASHARIKI YA ASIA, PENGINE NI KASIKAZINI NA KATIKATI YA CHINA. KUNDE MZIMA INA PROTINI KUBWA KWA CHAKULA NA MALISHO. SOYA HUPANDWA KUZALISHA MBEGU,NI KUNDE YA MWAKA MZIMA, ZAO LA JOTO KIASI. 23/02/17 PROPRIETORY INFORMATION 13

TABIA ZA UPANDAJI MMEA UHITAJI KIPINDI KIREFU CHA GIZA, ENYE KICHAKA NA ILIYO SIMAMA (Wima ukuaji wa tabia) (Short-day plants are those plants that flower when they are exposed to long periods of darkness and short periods KAWAIDA UREFU WA MMEA HUA NI 40 MPAKA 50 CENTIMITA, MIMEA HUA NA MATAWI NA MIZIZI MIZURI. KILA MIMEA HUTOA IDADI YA MBEGU NDOGO ZENYE RAUNDI MOJA MPAKA NNE, KAWAIDA NI MANJANO MPAKA NYEUSI. of light) 23/02/17 PROPRIETORY INFORMATION 14

UWEKAJI WA NITROJENI MFUMO WA MZIZI MKUU UNA KINA, MIREFU INAYOWEZA ZIDI MITA MOJA NUKTA TANO(1.5MITA). MZIZI MKUU UNAMIZIZI YA PEMBENI INAYOZAMA KWENYE UDONGO MPAKA MILIMITA MIA TATU (300mm). MIZIZI INA VINUNDU MAALUM VYA KUCHUJA Rhizobium- japonicum bacteria husababisha mmea wenyewe kuweka nitrojeni kwenye udogo. MIZIZI YA PEMBENI INA VINUNDU AMBAVYO NI MUHIMU WAKATI WA MAUA NA MBEGU KUJITENGENEZA. 23/02/17 PROPRIETORY INFORMATION 15

HALI YA HEWA MADHUBUTI YA KILIMO CHA SOYA. Nyuzi joto kac ya 13 Cencgredi mpaka 30 Cencgredi Mvua kuanzia 500milimita mpaka 900 milimita Udongo udongo uliochibwa chini sana usio na maji na mwepesi lakini kitalu kiwe imara. Shamba linatakiwa kua huru na maji ya kutwama. 23/02/17 PROPRIETORY INFORMATION 16

MATUMIZI YA MAHARAGE YA SOYA MAZIWA YANAWEZA KULIWA BAADA YA KUCHEMSHA UNAWEZA KUKAANGA UNAWEZA KUHAMISHIWA KATIKA AINA MBALIMBALI YA VYAKULA SOYA MAZIWA( kahawa na chai), KINYWAJI, MKATE, CHANZO CHA MAFUTA. MAHARAGE YA SOYA MAZIWA HUTENGENEZWA KULISHIA MIFUGO ( mfano Ngombe,kuku, mbuzi, kondoo,nyac) 23/02/17 PROPRIETORY INFORMATION 17

TAKWIMU ZA DUNIA WAZALISHAJI WAKUBWA DUNIANI NI CHINA,USA, ARGENTINA, BRAZIL 23/02/17 PROPRIETORY INFORMATION 18

MIKOA MAHARAGE YASOYA MAZIWA INAPANDWA AFRICA AND TANZANIA KATIKA AFRIKA, MAHARAGE YA SOYA MAZIWA YANAZALISHWA KATIKA NCHI YA NIGERIA, S.AFRICA, ZIMBABWE, RWANDA, UGANDA. TANZANIA INAZALISHA ASILIMIA SIFURI NUKTA MBILI (0.2%) UKILINGANISHA NA NCHI NYINGINE ZA AFRICA KATIKA TANZANIA, MAHARAGE YA SOYA MAZIWA YANAZALISHWA SANA MKOA WA MOROGORO, RUVUMA, MBEYA NA IRINGA. 23/02/17 PROPRIETORY INFORMATION 19

BEI YA MAHARAGE YA SOYA MAZIWA SOKO LA DUNIA KWA SOYA LEO NI (DOLA 0.331 KWA KILO) US $ 0.331 /KG. Bei ya maharage ya soya maziwa ni1500 Tanzania Sh / kilo. 23/02/17 PROPRIETORY INFORMATION 20

ASANTENI KWA MUDA WENU NA UVUMILIVU 23/02/17 PROPRIETORY INFORMATION 21

MAWASILIANO Kwa taarifa yoyote au maswali : Mracbu wa mradi milalb@icloud.com Kiongozi wa kilimo LOVENESS SAKWERA loveness4@yahoo.com 23/02/17 PROPRIETORY INFORMATION 22